Huduma Bora za Afya kwa Mama na Mtoto
Afya Fity ni kituo cha afya kinachotoa huduma za kitaalamu kwa wanawake na familia. Tunatoa ushauri wa kitabibu, virutubisho, na utafiti wa kisayansi ili kuhakikisha usalama na ubora wa huduma zetu. Jiunge nasi kwa afya bora na nguvu za kudumu.
5/8/20241 min read
Huduma za afya